ROHO MBAYA LYRICS
Mmmmmmmmh
Mmmmmmh.......
mmmmhhhh........
VERSE 1
Nishakuwa na rafiki zamani...
Nikamwambia Siri zangu za ndani akaziweka hadharani ........
Tena nikakuwa na rafiki wa kufa kuzikana,
Pale pesa zilipokwisha naye akanikwepa
Nishachumbia mpenzi Wangu, niliponasa mimba, akasema sio yaaangu....
PRE- CHORUS
Leo mi nacheka nao ,Mi nakula nao ila wananitendea...
Mi najenga kwao, mi naimba nao
Ila wamenigeukia
Leo nacheka nao ,Mi nakula nao ila wananitendea...
Mi najenga kwao, mi naimba nao
Ila wamenigeukia eeeh
CHORUS
Roho mbaya
ila tunaishi nao.....weh
Roho mbaya
hata wengine damu zetu .. weh X2
VERSE 2
Wameniwekea mitego nisisonge mbele.....
Wanatamani vyangu viwe vyao wananionea gere...
Wamengoja nisote wacheke
(Eeeeh)
Nisote wasepe
(Heya)
Wanangoja nishuke muziki wasepe
(Eeeeeh)
ooh wasepe
(Heya)
Leo mi nacheka nao ,Mi nakula nao ila wananitendea...
Mi najenga kwao, mi naimba nao
Ila wamenigeukia
Leo nacheka nao ,Mi nakula nao ila wananitendea...
Mi najenga kwao, mi naimba nao
Ila wamenigeukia eeeh
CHORUS
Roho mbaya
ila tunaishi nao.....Weh
Roho mbaya
hata wengine damu zetu weh X2
Cheza kama umepata kazi weh
Cheza wakuone umenunua gari
Cheza kama umepata kanyumba eh
Cheza kama una pesa za kwako
CHORUS
Roho mbaya
ila tunaishi nao.....Weh
Roho mbaya
hata wengine damu zetu weh X2
@JawadeJawade-kh5gb Says:
تحيا الجزائر 🇩🇿💪😂
@Felister-y2i Says:
Much love ❤
@mrunphotography Says:
Hii video ni safi, not to mention the vocals
@PulseandPerspective-u5i Says:
dedicating this song to must go
@DorcasWaeni-pt5yd Says:
am happing the place they shoot the video i know
@riyadosanya8206 Says:
October 2024 who's here?
@peonyflowers23 Says:
Very cool. Purchased on ITunes ♥️
@josiahkariuki1799 Says:
This lady can sing!Alienda wapi
@universepositivity Says:
I love Nadia from somalia
@evelyneengado7766 Says:
Kama uko hapa in 2024 wapi like.
@julietachieng6085 Says:
Maseno we love you nadia
@joyceMasinde-hw3dc Says:
❤❤❤
@blessednjungushu4784 Says:
🔥🔥🥵🥵 🥵🥵🥵🥵🥵🥵🔥🔥🔥🔥🔥
@kendi-xv3wz Says:
07:07:2024
@sharleenmuli5318 Says:
This song I love it it has good advice
@NicholasMugendi-ur1dq Says:
Congrats our queen 👑
@JoanChepkoech-fe8eb Says:
Roho mbaya.....
@njeriperry Says:
Here in 2024 and still enjoying the song big time🥰🥰🥺❤❤
@ahmedjafar9406 Says:
Ni uķweli nadia legend
@EmmaMwendwa-z7e Says:
❤❤❤❤
@marinteldaisy855 Says:
So true,watu n roho mbaya sana ady mandugu wamegeuka kusikilia wenzao wivu,too sad 😭😭
@SamwelSimba-je1sq Says:
Love you Nadia mukami❤❤
@moraakoya Says:
Niko April 2024
@doricecyprian7246 Says:
Plug tv na umbea hapo😁😂😂
@KENYANTIZENSTV Says:
Baby gal❤❤❤
@junneesther6673 Says:
I'm still here and still loving the message
@KuriaJoe Says:
Lowkey advert for komarock modern😊😊😊😊
@manuh_twenty Says:
Good work nadia this is hit 🔥 song👌
@Flawless-o8z Says:
Wow good job
@calvinblackkelly4658 Says:
Yaani hiii nyimbo dada umeilainisha kinyama nayo ikajibu aiseee....hongera
@bintikiziwi. Says:
🎉🎉🎉🎉🎉
@AnthonyMunene-cu3wl Says:
true that kuna watu roho mba banah
@MorisKithome Says:
I love nadia mukami freely
@rosemofuga8101 Says:
From Tanzania Iike you so much Nadia
@BrianMaranga-dt1vm Says:
I always listen to ur songs 7times❤
@BrianMaranga-dt1vm Says:
Much love I love your music ur voice 110%best
@TitoNikoi-ng9ej Says:
This is what have been happening here in south Sudan
@caromule3944 Says:
She always sing the reality,,, love her so much 💕🎉
@mbogilion Says:
Roho mbaya 💥💥💥💥💥💥💥💯💯
@junewambua5365 Says:
😂🎉🎉🎉❤
@wagwankingston8913 Says:
Pure facts 💯
Big up Nadia 🇰🇪
@SimonMuema-u5p Says:
❤i😊😊❤😅
@samwelnjuguna-gz9eb Says:
Ni ukweli 💯🇰🇪🌍 Wapo roho MBAYA 🔥🔥🔥 Wengine ata Ni damu zetu 🪦🪦🪦 Nionyeshe chuki ❤️🔥❤️🔥❤️🔥 nikuonyeshe chuki ❤️🔥❤️🔥❤️🔥 Tuchukiane ❤️🔥❤️🔥❤️🔥I don't do threats 💯🪦 I do action ☠️🌍🦓
@monic6646 Says:
I love her. Her music is top notch
@MaryMwikali-o6c Says:
This song reminds me alot😢
@user-Wangaben1 Says:
cheza kama una pesa za kwako mmmmh
@josephkhamuli8105 Says:
Ukweli hii wimbo ni ka ya kumuimbia Mungu c utoe moja karibu sawa na hii iwe ya Mungu itakua pia please fanya ivo imbia Mungu ata moja
@janepepeta7408 Says:
Still a favourite ❤
@merrym9 Says:
Nipate verse ya mwisho tiktok naeza dance nipost kwa status yangu kwa platform zote. This song🔥🔥🔥🔥🔥
LATEST COMMENTS