<<@GladysGabriel-cl5mf says : Hakutafuta hio kiatu Kama ile kofia>> <<@SMARTMOVESFOOTBALL says : sasa hii kiatu utavaa wapi kama wewe si msanii😂>> <<@hajjiomary2383 says : 😂😂😂😂😂 whatttttt>> <<@AssinaMsafiri-ud5so says : Wamwagie hela apana viyato>> <<@yunismutenje4824 says : Mondi nakukubali njoo hata Kenya basi>> <<@NapoleonPresidal2024 says : A king of music comes from east Africa>> <<@123f89 says : Ugly shoes>> <<@Divineblood1222 says : 😷 hella nope>> <<@martinjosephat4694 says : ,🙄>> <<@JosephCostantino-yi3bx says : Fire fire bloody>> <<@kreemsaed4173 says : The situation will not remain as it is; it will change and eventually go to someone else / Hali haitabaki kama ilivyo; itabadilika na siku moja itaenda kwa mtu mwingine>> <<@mrsinia3064 says : Kwanza asiwadanganye huyo mshaa et hivyo viatu vinauzwa mil.3.6 wakati bei yake naijua ni 3600 soko la karume pale>> <<@hectorextor says : The world down😢>> <<@mwesigyeglory215 says : He is not Simba His name is Amphibia please>> <<@krkMuse says : They can sell it and split the money, or buy the other>> <<@JumaMugo says : Tisha sana SIMBA>> <<@user-ie2ww6vq5o says : Mwenye cha kulia amtafte mwenye cha kushoto.. wakutane wakauze wagawane hela... 😂>> <<@joebinarysignals says : Mondi nakukubali sana xema unapigo za kishamba unapenda xana kumtumia harmonize kumshusha brand. Kwahyo ulivoona harmonize kavaa ivo viatu, we umeona ugawe kwa mashabiki huo ni uboya mziki haupo ivo>> <<@LisztharaldLizzy says : 😂😂😂>> <<@niyomugabojeanpaul1723 says : I like You Diamond I'm from Rwanda 🇷🇼>> <<@niyomugabojeanpaul1723 says : Wow I like You Diamond ❤❤🎉>> <<@Ehwazmoha says : Kwani sh ngapi acheni kukuza vitu>> <<@RaheemBwanamalundi says : 😢😢😢😅😅😅ningekuepo lingekufa jitu asee>> <<@RamsboyAsingeUG says : Nataka nijiunge na wcb>> <<@RamsboyAsingeUG says : Wendo sasa musani>> <<@AlliMohamed-q2y says : 😅😅 kiatu>> <<@AdoKay-ib1ez says : Comment sava>> <<@runinhochale4548 says : Simba 👑>> <<@dianacentore9510 says : 😂😂😂😂😂 👑 👑 👑 ❤❤>> <<@denyslazaro4665 says : 😂😂😂>> <<@kisiwahouse7227 says : Diamond represents Tanzanian thanka simba simba dangote>> <<@kisiwahouse7227 says : Diamond represents Tanzanian thanka simba simba dangote>> <<@nduwayoramazane says : iyinkweto igura angahe?>> <<@HamisifarijalaNyoni says : It cost $ 1,175>> <<@afroyuzo says : gharama yake hiyo balanceaga ni mtaji kwa mtanzania>> <<@dxboyz3001 says : 😂wacha sifa>> <<@kulyaboyforex4-if8cd says : Konde afany hivyo n yy tumsifu🎉😂>> <<@IbrahimDharar says : Ilove song diamond platnumz>> <<@MagomaPato says : World Top Star at the moment...Diamond Platnumz🦁🦁🦁🦁🦁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿>> <<@HeriRamadhan-q7m says : 🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏>> <<@kilogreekachananawatuwasio4054 says : WASANII WETU WA BONGO KUIGA NDIO MAENDELEO RAKINI AYA MIATU NIMEMUONA NAYO LILY WAINY AMERICA SASA WAMENUNUA FEKI WANATUPA POTELEA MBALI 😂😂😂>> <<@MwonekanoTv says : Kwa Hela ya Kenya ni buku mbili tu hiyo>> <<@MS.independent8934 says : What for really nimepatwa na ganzi gaflaa aisee bei yake tu 🔥 aisee simba ❤❤❤🎉🎉🙌🏻😂😂>> <<@Cecilequeen says : 😂😂😂😂😂>> <<@ImaniMsafi says : You are the best of Africa>> <<@Norbeth-m8d says : Harmonize alipanga avae yanga day badala yakuona hivo ame gaili Simba Hana baya ❤>> <<@SamuelMarc-i1w says : Hihihi 😢 1.050€>> <<@Whoisthismantalking says : Bongo anagombana na mabaunsa wake anapo porwa kofia na mashabiki akienda ulaya anawarushia wazungu vitatu vya gharama ya juu. 2. Akiwa bongo mashabiki zake wanamuomba awape hata buku ya kula anakataa na wakati mwingine huwa nawaambia wasimuombe ela ila akienda nje anatupia malaya wanaonengua kwenye club za usiku. Huyu jamaaa ni mnafiki sana>> <<@Whoisthismantalking says : When he was in Tanzania he fought for his Cap 🧢 when a fan tried to grab it from his head. He is in Europe now throwing expensive shoe to white fans. 2. When he is in his home country (Tanzania) he don't give a dollar to those who asks him, but he went to European club and throw money to bit*ches. He is a very hypocrisy 😏>> <<@DianaAtieno-v4d says : Nice ❤❤❤>>
VideoPro
>>