<<@NadiaMukami
says :
ROHO MBAYA LYRICS Mmmmmmmmh Mmmmmmh....... mmmmhhhh........ VERSE 1 Nishakuwa na rafiki zamani... Nikamwambia Siri zangu za ndani akaziweka hadharani ........ Tena nikakuwa na rafiki wa kufa kuzikana, Pale pesa zilipokwisha naye akanikwepa Nishachumbia mpenzi Wangu, niliponasa mimba, akasema sio yaaangu.... PRE- CHORUS Leo mi nacheka nao ,Mi nakula nao ila wananitendea... Mi najenga kwao, mi naimba nao Ila wamenigeukia Leo nacheka nao ,Mi nakula nao ila wananitendea... Mi najenga kwao, mi naimba nao Ila wamenigeukia eeeh CHORUS Roho mbaya ila tunaishi nao.....weh Roho mbaya hata wengine damu zetu .. weh X2 VERSE 2 Wameniwekea mitego nisisonge mbele..... Wanatamani vyangu viwe vyao wananionea gere... Wamengoja nisote wacheke (Eeeeh) Nisote wasepe (Heya) Wanangoja nishuke muziki wasepe (Eeeeeh) ooh wasepe (Heya) Leo mi nacheka nao ,Mi nakula nao ila wananitendea... Mi najenga kwao, mi naimba nao Ila wamenigeukia Leo nacheka nao ,Mi nakula nao ila wananitendea... Mi najenga kwao, mi naimba nao Ila wamenigeukia eeeh CHORUS Roho mbaya ila tunaishi nao.....Weh Roho mbaya hata wengine damu zetu weh X2 Cheza kama umepata kazi weh Cheza wakuone umenunua gari Cheza kama umepata kanyumba eh Cheza kama una pesa za kwako CHORUS Roho mbaya ila tunaishi nao.....Weh Roho mbaya hata wengine damu zetu weh X2
>>
<<@JawadeJawade-kh5gb
says :
تحيا الجزائر 🇩🇿💪😂
>>
<<@Felister-y2i
says :
Much love ❤
>>
<<@mrunphotography
says :
Hii video ni safi, not to mention the vocals
>>
<<@PulseandPerspective-u5i
says :
dedicating this song to must go
>>
<<@DorcasWaeni-pt5yd
says :
am happing the place they shoot the video i know
>>
<<@riyadosanya8206
says :
October 2024 who's here?
>>
<<@peonyflowers23
says :
Very cool. Purchased on ITunes ♥️
>>
<<@josiahkariuki1799
says :
This lady can sing!Alienda wapi
>>
<<@universepositivity
says :
I love Nadia from somalia
>>
<<@evelyneengado7766
says :
Kama uko hapa in 2024 wapi like.
>>
<<@julietachieng6085
says :
Maseno we love you nadia
>>
<<@joyceMasinde-hw3dc
says :
❤❤❤
>>
<<@blessednjungushu4784
says :
🔥🔥🥵🥵 🥵🥵🥵🥵🥵🥵🔥🔥🔥🔥🔥
>>
<<@kendi-xv3wz
says :
07:07:2024
>>
<<@sharleenmuli5318
says :
This song I love it it has good advice
>>
<<@NicholasMugendi-ur1dq
says :
Congrats our queen 👑
>>
<<@JoanChepkoech-fe8eb
says :
Roho mbaya.....
>>
<<@njeriperry
says :
Here in 2024 and still enjoying the song big time🥰🥰🥺❤❤
>>
<<@ahmedjafar9406
says :
Ni uķweli nadia legend
>>
<<@EmmaMwendwa-z7e
says :
❤❤❤❤
>>
<<@marinteldaisy855
says :
So true,watu n roho mbaya sana ady mandugu wamegeuka kusikilia wenzao wivu,too sad 😭😭
>>
<<@SamwelSimba-je1sq
says :
Love you Nadia mukami❤❤
>>
<<@moraakoya
says :
Niko April 2024
>>
<<@doricecyprian7246
says :
Plug tv na umbea hapo😁😂😂
>>
<<@KENYANTIZENSTV
says :
Baby gal❤❤❤
>>
<<@junneesther6673
says :
I'm still here and still loving the message
>>
<<@KuriaJoe
says :
Lowkey advert for komarock modern😊😊😊😊
>>
<<@manuh_twenty
says :
Good work nadia this is hit 🔥 song👌
>>
<<@Flawless-o8z
says :
Wow good job
>>
<<@calvinblackkelly4658
says :
Yaani hiii nyimbo dada umeilainisha kinyama nayo ikajibu aiseee....hongera
>>
<<@bintikiziwi.
says :
🎉🎉🎉🎉🎉
>>
<<@AnthonyMunene-cu3wl
says :
true that kuna watu roho mba banah
>>
<<@MorisKithome
says :
I love nadia mukami freely
>>
<<@rosemofuga8101
says :
From Tanzania Iike you so much Nadia
>>
<<@BrianMaranga-dt1vm
says :
I always listen to ur songs 7times❤
>>
<<@BrianMaranga-dt1vm
says :
Much love I love your music ur voice 110%best
>>
<<@TitoNikoi-ng9ej
says :
This is what have been happening here in south Sudan
>>
<<@caromule3944
says :
She always sing the reality,,, love her so much 💕🎉
>>
<<@mbogilion
says :
Roho mbaya 💥💥💥💥💥💥💥💯💯
>>
<<@junewambua5365
says :
😂🎉🎉🎉❤
>>
<<@wagwankingston8913
says :
Pure facts 💯 Big up Nadia 🇰🇪
>>
<<@SimonMuema-u5p
says :
❤i😊😊❤😅
>>
<<@samwelnjuguna-gz9eb
says :
Ni ukweli 💯🇰🇪🌍 Wapo roho MBAYA 🔥🔥🔥 Wengine ata Ni damu zetu 🪦🪦🪦 Nionyeshe chuki ❤️🔥❤️🔥❤️🔥 nikuonyeshe chuki ❤️🔥❤️🔥❤️🔥 Tuchukiane ❤️🔥❤️🔥❤️🔥I don't do threats 💯🪦 I do action ☠️🌍🦓
>>
<<@monic6646
says :
I love her. Her music is top notch
>>
<<@MaryMwikali-o6c
says :
This song reminds me alot😢
>>
<<@user-Wangaben1
says :
cheza kama una pesa za kwako mmmmh
>>
<<@josephkhamuli8105
says :
Ukweli hii wimbo ni ka ya kumuimbia Mungu c utoe moja karibu sawa na hii iwe ya Mungu itakua pia please fanya ivo imbia Mungu ata moja
>>
<<@janepepeta7408
says :
Still a favourite ❤
>>
<<@merrym9
says :
Nipate verse ya mwisho tiktok naeza dance nipost kwa status yangu kwa platform zote. This song🔥🔥🔥🔥🔥
>>
NEXT VIDEO
>>